Mshambuliaji wa Simba Apiga Hat Trick Under Twenty Taifa Stars..


Mshambuliaji wa Simba Sc, Valentino Mashaka amefunga hat-trick na kuisaidia timu ya taifa ya Tanzania ya umri chini ya miaka 20 kuitandika Djibouti jumla ya magoli 7-0 katika mchezo wa kuwania kufuzu AFCON U20 kwa vijana wa rika hilo kwa ukanda wa CECAFA.

FT: Tanzania 7-0 Djibouti
⚽ Valentino 21', 75’ 90+6’ (P),
⚽ Sabri 57’ 90+1'
⚽ Jammy 61'
⚽ Nickson 70'

#KitengeSports
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad