Mudathir Yahya wa Yanga Alivyoimaliza Simba SC Dabi ya Kariakoo

Mudathir Yahya wa Yanga Alivyoimaliza Simba SC Dabi ya Kariakoo

 Mudathir Yahya wa Yanga Alivyoimaliza Simba SC Dabi ya Kariakoo

Juzi kwenye Mchezo wa Dabi ya Kariakoo kati ya Mapacha wa Kariakoo Simba dhidi ya Yanga, kuna mtu pale katikati alikuwa anaitwa Mudathir Yahya kutoka Yanga.

Timu ikiwa na mpira Movement za Mudathir zilikuwa imara lakini uwezo wake wa Ku-drop kwenye nafasi yake kwa haraka defensively dhidi ya viungo wa Simba hasa baada ya kupata bao ulikuwa ni wa hali ya juu akaiua Rhythm yoyote ambayo Simba walijaribu kuitafuta kurudi mchezoni kwenye dakika kadhaa za mapema.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad