Mwanamuziki Wizkid Aanza Choko Choko za Kumtupia Madongo Davido

Mwanamuziki Wizkid Aanza Choko Choko za Kumtupia Madongo Davido



Nyota wawili wa muziki kutoka Nigeria, Wizkid pamoja na Davido wamejikuta wakiingia kwenye ‘headlines’ baada ya Wizkid kumtupia madongo Davido kwenye mtandao wa X (zamani Twitter) huku akidai kuwa Davido hana kipaji kumzidi licha ya wawili hao kuwa na ukaribu mkubwa hadi kupanga kufanya ziara ya pamoja ya muziki.

Tangu siku mbili zilizopita Wizkid amekuwa akitupa vijembe kwa Davido huku akihusisha vitu mbalimbali ikiwemo utajiri wa Davido ingawa hakuna majibu aliyoyapata kutoka kwa OBO(Davido).

Bado chanzo cha Wizkid kurusha vijembe hivyo kwa Davido hakijajulikana kitu kilichopelekea wengi kuhisi labda ni kiki kabla ya kuachia project yake mpya ambayo alitangaza ujio wake hivi karibuni.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad