Mwigulu Afunguka Bao Alilojifunga Mzize 'Apongezwe'


MHE. DKT. @mwigulunchemba Ametoa neno juu ya goli ililo fungwa timu ya taifa ya Tanzania

"Nimeona Maneno kuhusu MZIZE. Kwangu mimi, tumefungwa kwa sababu tumeshambuliwa, tumejifunga kwa sababu tumeshambuliwa. Mzize amejifunga kwa sababu alikuwa mahali pakuzuia. Kwangu mimi Mzize anatakiwa kupongezwa kwa kuwa Striker alierudi kuzuia.

TEAM WORK SPIRIT, OTHERWISE KONGOLE KWA TAIFA STARS, IT IS FOOTBALL."
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad