Mwisho wa Khalid Aucho na Yanga Unafikia Mwisho, Aomba Kuondoka

Mwisho wa Khalid Aucho na Yanga Unafikia Mwisho, Aomba Kuondoka

 Mwisho wa Khalid Aucho na Yanga Unafikia Mwisho, Aomba Kuondoka


Ni rasmi sasa kiungo mkabaji wa Yanga Khalid Aucho hatokuwa sehemu ya kikosi cha Yanga msimu ujao mara baada ya kufikia maamuzi hayo yeye na uongozi unaomsimamia mchezaji huyo unafanya kila linalowezekana ili kiungo huyo aende kucheza soka Uarabuni.

Chanzo cha ndani cha habari kinasema offer pia kutoka timu ya Vipers ya Nchini kwao Uganda na Gorh Mahia ya nchini Kenya zikihitaji huduma ya kiungo huyo wa kimataifa wa Uganda.

Maamuzi hayo yamefikiwa na mchezaji huyo kwa kile kinachoaminiwa kuwa anataka kwenda kutafuta changamoto mpya.

Khalid Aucho ndio basi tena ndani ya Yanga msimu ujao mara baada ya taarifa hizo kuifikia safu ya uongozi wa Yanga sasa wameanza kutafuta kiungo mkabaji mwingine ambaye atakuwa mbadala wa Aucho kwenye eneo la Dimba.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad