Nassreddine Nabi Achafukwa Aamua Kuwapa Masharti Makali Wachezaji wa Kaizer Chiefs

 

Nassreddine Nabi Achafukwa Aamua Kuwapa Masharti Makali Wachezaji wa Kaizer Chiefs

Kocha Mkuu wa Kaizer Chiefs, Nassreddine Nabi ametangaza sheria mpya ndani ya timu hiyo kwaajili ya kurudisha nidhamu kwa wachezaji wake kama ifuatavyo :-

Zamani wachezaji wa Kaizer Chiefs walikuwa wanakula chakula kwa makundi tena kiurafiki lakini kwasasa Kocha Nasserdine Nabi amekataza swala hilo na wachezaji wote wanapaswa kula meza moja kambini.

Sheria ya Pili ni wachezaji wote wanapaswa kuingia mazoezini Dakika 30 kabla ya mazoezi rasmi kuanza na Kabla yeye hajafika kambini na Mchezaji atakayechelewa atalipishwa Faini ya Rand 129,400 sawa na Million 20 kwa pesa za Kitanzania .

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad