NICK MINAJ AANDIKISHA MALI ZAKE KWA JINA LA MUME WAKE

 

NICK MINAJ AANDIKISHA MALI ZAKE  KWA JINA LA MUME WAKE

Rapa maarufu kutoka Trinidad na Tobago Nicki Minaj ameweka kuwa mali zake zote amezisajili kwa jina la Mume wake Kenneth Petty na amefanya hivyo kwa sababu anamuani sana na kumpenda sana mume wake.


“Mali zangu zote zimesajiliwa kwa jina la mume wangu kwa sababu nampenda na kumuamini”-amesema Nick Minaj kwenye moja ya mahojiano yake.


Rapa huyo alifunga ndoa mwezi octoba mwaka 2019 na mume wake Kenneth Petty ambaye walikuwa wapenzi wa muda mrefu huku akitajwa kuwa na utajiri mkubwa kumzidi Nick Minaj.


Wawili hao wamejaliwa kupata mtoto mmoja pekee wa kiume mpaka sasa aliyezaliwa mwaka 2020 kwa sasa akiwa na umri wa miaka minne.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad