Nigeria Hawako Tayari Kucheza na Libya AFCON Kisa Mapokezi Mabaya



KIKOSI CHA NIGERIA KUPITIA NAHODHA WAKE TROOST EKONG WAMEKUBALIANA KUTOCHEZA MCHEZO DHIDI YA LIBYA KUFUATIA MAPOKEZI MABAYA ||

Miamba ya Afrika Nigeria 'Super Eagle's Kupitia nahodha wake William Troost Ekong ameandika katika Ukurasa wa X (Tweeter) kua hawapo tayari kucheza mchezo wa Kufuzu AFCON dhidi ya Libya kufuatia mapokezi mabaya waliyopata Nchini humo.

Pichani Wachezaji wa Nigeria wakiwa Airport ya Moja ya Mji wa Libya ambako kwa maelezo ya awali hawakutakiwa kushuka katika Airport hiyo, Pia Wameachwa katika eneo hilo kwa saa 12 bila kujua kinachoendelea.

Umbali kutoka katika Airport hiyo kwenda Tripoli ambako ndio kituo Cha mchezo ni saa 3 na Wametakiwa kwenda kwa Basi, Halia mbayo Nigeria wamekataa na Wapo tayari kuwapa ushindi wa Mezani Libya.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad