No Messi, Wala Ronaldo Nani Atachukua Ballon D' Or Leo?

No Messi, Wala Ronaldo Nani Atachukua Ballon D' Or Leo?

Leo Oktoba 28, 2024 tuzo za Ballon D’ Or zitatolewa jijini Paris nchini Ufaransa. Kwa mara ya kwanza tangu mwaka 2003 tuzo hizo zinatolewa bila ya uwepo wa wachezaji pendwa zaidi duniani Lionel Messi na Christiano Ronaldo.

Nyota wanaoonekana kuwa na nguvu kubwa ya kutwaa tuzo hiyo ni pamoja na Vini Jr wa timu ya taifa Brazil na klabu ya Real Madrid, Jude Bellingham wa timu ya taifa England na klabu ya Real Madrid na Rodri wa timu ya taifa Hispania na klabu ya Man City.

Nani unampa nafasi ya kuchukua tuzo hiyo?


Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad