OSCAR ; Mukwala ni Bora Kuliko Prince Dube



"Kwa Mchezo wa jana na Tangu ligi imeanza Steven Mukwala ni Bora sana kumzidi Prince Dube.

Ukitazama namna ambavyo alikuwa anaiendesha safu ya ushambuliaji kwenye mchezo wa jana utagundua tuu anahitaji muda kidogo aweze kuonyesha makali yake"

Azungumza mchambuzi @oscaroscarjr
.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad