P Diddy Aishutumu Serikali ya Marekani Kuvujisha Siri zake

P Diddy Aishutumu Serikali ya Marekani Kuvujisha Siri zake

Rapa #Diddy aliwashutumu mawakala wa shirikisho na waendesha mashitaka kwa kuvujisha taarifa zake kinyume na Sheria Mahakamani siku ya Jumatano.

#Combs amezuiliwa bila dhamana baada ya kukamatwa na kushtakiwa mwezi uliopita kwa ulanguzi wa ngono kwa nguvu, usafiri wa kujihusisha na ukahaba na kula njama za kulaghai.

Mawakili wa #Diddy amedai kuwa taarifa hizo zimesababisha kumchafua zaidi Staa huyo na huenda Mahakama ikashindwa kutoa haki kwa Staa huyo.

Wanadai video ambayo ilirushwa hewani na CNN #Diddy akimshambulia Ex wake #CassieVentura ilikuwa sehemu ya kampeni iliyoongozwa na serikali ya kuchafua sifa ya Diddy na upendeleo wa maoni ya umma kabla ya kesi yake kusikilizwa.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad