Pacome: Ligi ya Bongo ni Bora Kuliko ya Ivory Coast



Nyota wa klabu ya Yanga Pacome Zouzoua ameweka wazi kuwa Ligi ya Tanzania ina ubora mkubwa kuliko Ligi ya Ivory Coast kutokana pia na mapenzi yaliyopo kwa watu wake.

"Ligi ya Tanzania ni bora kuliko Ligi ya Ivory Coast, Viongozi na mashabiki wanapenda mpira pamoja na waandishi wa habari, Tanzania ipo vizuri kwa kila kitu."

- Pacome Zouzoua, nyota wa klabu ya Yanga.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad