Prince Dube Mechi Sita Hana Bao Wala Asisti, Aendelee Kupewa Muda?

Prince Dube Mechi Sita Hana Bao Wala Asisti, Aendelee Kupewa Muda?


Moja ya usajili uliotikisa zaidi katika kikosi cha Yanga ni pamoja na usajili wa Mwana wa Mfalme, Prince Dube akitokea Azam FC.

Matarajio ya wengi hasa wapenzi wa Yanga SC ni kuona akicheka na nyavu kwenye michezo mbalimbali ya klabu hiyo.

Hadi sasa Dube amecheza mechi sita za Ligi Kuu ya NBC na hajafunga wala kutoa pasi ya mwisho katika mechi hizo.

Alianza kwenye kikosi cha kwanza katika michezo miwili na akatokea benchi kwenye mechi nne.

Mechi ambazo Dube ameanza kwenye kikosi cha kwanza ni dhidi ya Simba SC, KMC FC huku akianzia benchi kwenye mechi ya Coastal, JKT Tanzania, Pamba Jiji FC na Ken Gold SC.

Vipi Yanga SC waendelee kumpa muda?

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad