Roho ya Wana Simba Kwa Sasa ni Kwa KAGOMA Awe fiti Msimu Mzima


Roho ya Wana Simba Kwa Sasa ni Kwa KAGOMA Awe fiti Msimu Mzima

Kama kuna dua kubwa mnatakiwa kufanya Mashabiki wa simba basi ni kumuombea Kagoma awe fit kwa asilimia 100 kuelekea Msimu huu.

Kagoma Sio Mzuri sana kwenye Passing especially long ila hapa leo nazungumzia uwezo wake wa kuulinda eneo lake la ulinzi navutiwa na utulivu wake akiwa na mpira,

Kagoma amehama katika kuvunja kuni amekua namba 6 wa kisasa anakaa na mali na kuchezesha, Siwezi kuweka dara la Aucho ila ni miongoni mwa Viungo bora kabisa ndani ya Tanzania,

Mgumu juu, mgumu chini, Compusure hana papara mguuni.

Nimemtazama katika Big match,

Vs Al Ahli Tripoli

Vs Yanga,believe me Kagoma ana kitu cha kuwaongezea Lunyasi katika eneo la kiungo.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad