Rubani wa NDEGE Afariki Dunia Akiwa Angani

Rubani wa NDEGE Afariki Dunia Akiwa Angani

Rubani wa Shirika la Ndege la Uturuki amefariki dunia akiwa katikati ya safari kwenye ndege aina ya Airbus A350-900 iliyokuwa ikitokea Seattle nchini Marekani kuelekea mji mkuu wa Uturuki Istanbul hali iliyopelekea ndege hiyo kulazimika kutua kwa dharura New York.

Ilcehin Pehlivan (59) ambaye amefanya kazi na Shirika la Ndege la Uturuki tangu mwaka 2007 alizimia wakati wa safari hiyo na kisha wafanyakazi wakajaribu kumpa huduma ya kwanza na kuamua kutua kwa dharura lakini alifariki kabla ya kutua kabla ya ndege kutua.


Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad