TANESCO: Nunueni Umeme wa Luku Kabla ya Leo 5:59 usiku

 

TANESCO: Nunueni Umeme Kabla ya 5:59 usiku

Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limewataarifu wateja wake kuwa kutakuwa na maboresho ya mfumo wa LUKU ambayo yanatarajiwa kufanyika usiku wa Oktoba 21, 2024 kuanzia saa 5:59 hadi saa 09:00 usiku.


TANESCO imesema wakati wa maboresho hayo, wateja hawataweza kununua umeme kwa muda wa saa 3, hivyo wananchi wamehimizwa kufanya manunuzi ya umeme mapema ili kuepusha usumbufu unaoweza kujitokeza.

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad