Timu ya Taifa Tanzania Under 20 Yachukua Ubingwa wa CECAFA, Waifunga Kenya

Timu ya Taifa Tanzania Under 20 Yachukua Ubingwa wa CECAFA, Waifunga Kenya

Timu ya Taifa Tanzania Under 20 Yachukua Ubingwa wa CECAFA, Waifunga Kenya

"Vijana wetu @ngorongoroheroes wamekabidhiwa fedha za zawadi ya Rais Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan kiasi shilingi Milioni 20 baada ya kuibuka Mabingwa wa CECAFA U20 kwa mwaka 2024 na kufuzu kuchezi AFCON mwakani 2024 kwa U20.

Wamewalaza Kenya 2-1, katika Uwanja wa KMC, Dar es Salaam.

Kongole vijana wetu kwa kututoa kimasomaso."

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad