TIMU ya Taifa ya Tanzania U20 Yaichapa Rwanda 3 Bila


Timu ya vijana ya taifa u20 @serengetiboystz imefanikiwa kupata ushindi mbele ya timu ya Rwanda U20 ushindi wa goli 3-0

FT’ Tanzania 🇹🇿 3️⃣-0️⃣ 🇷🇼 Rwanda
Zidane Sereri⚽ 3’
Sabri Kondo ⚽ 70’
Sabri Kondo ⚽ 82’
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad