TP Mazembe ya Msimu Huu Sio TIMU Ngumu, Yanga Washindwe Wenyewe

TP Mazembe ya Msimu Huu Sio TIMU Ngumu, Yanga Washindwe Wenyewe


Ni kweli TP Mazembe ni timu kubwa sana,wameshinda hili kombe x5,wametwaa ubingwa wa Congo x20 ila Yanga wanatakiwa kuvuna pointi 6 dhidi yao.

KWANINI YANGA WANATAKIWA KUMFUNGA TP MAZEMBE?

Msimu uliopita Tp walikuwa na timu nzuri sana,walifanikiwa kufika hatua ya nusu fainali ila baada ya hapo mambo yamebadilika.

Ukitazama kikosi cha msimu uliopita Tp wamepoteza wachezaji wao 5 bora.

1. Phillippe Kinzumbi,amekwenda (Club Africain)

2. Glody Likonza,Amekwenda (Usm Alger)

3. Kévin Mondeko,Amekwenda (Usm Alger)

4. Augustine Oladapo,Amekwenda (ES Setif)

5. Joel Beya,Amekwenda (Far Rabat)

Wakati huo Tp wamefungiwa kufanya usajili kwa madirisha matatu tofauti.

Yanga wanatakiwa kulala na Tp Mazembe..uso kwa uso

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad