Wa South Africa Hawamtaki Chriss Brown Afanye Show Nchini Kwao Kisa Hichi Hapa

Wa South Africa Hawamtaki Chriss Brown Afanye Show Nchini Kwao Kisa Hichi Hapa

Wa South Africa Hawamtaki Chriss Brown Afanye Show Nchini Kwao Kisa Hichi Hapa

Kikundi cha Utetezi wa Wanawake (Woman Change) Afrika Kusini kimeanzisha Kampeni ya kutaka kusitishwa kwa Tamasha lijalo la Msanii #ChrisBrown Nchini humo Disemba 14.2024 kwa madai ya kuwa anahistoria mbaya ya unyanyasaji wa kijinsia huku wakitaja hukumu yake kutokana na kumshambulia aliekuwa mpenzi wake 2009 #Rihanna

.

Tamasha hilo linaenda sambamba na Siku 16 za Kupinga Unyanyasaji wa Kijinsia nchini Afrika Kusini

.

Ombi la kupiga marufuku show ya #Brown limekusanya zaidi ya sahihi 20,000, huku mawakili wakiitaka Idara ya Masuala ya Ndani ya Nchi kumfutilia mbali viza yake.

.

Wakati mashabiki wengi, wakiwemo wanawake, wakiisubiri kwa hamu show ya #CB, wanaharakati wanasisitiza kuwa kumruhusu kutumbuiza kunadhoofisha mapambano dhidi ya ukatili dhidi ya wanawake.

.

Tiketi za Show hiyo zilimalizika ndani ya Masaa mawili toka zianze kuuzwa Oktoba 3.2024.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad