Kisa Kichapo Cha Simba, Wachezaji Al Ahly Tripoli Wakatwa Mshahara wa Miezi Miwili


Kisa Kichapo Cha Simba, Wachezaji Al Ahly Tripoli Wakatwa Mshahara wa Miezi Miwili

Al Ahly Tripoli ya libya wameamua kuwakata mishahara ya miezi miwili wachezaji wao kufuatia matokeo mabovu ya hivi karibuni ikiwa ni pamoja na kuondoshwa kwenye kombe la Shirikisho na klabu ya Simba ya Tanzania
.
Kabla ya tukio hili la kukata mishahara kwa wachezaji bodi ya Al Ahly Tripoli iliwafuta kazi makocha wake wote mapema baada ya kutolewa na Simba kwenye kombe la shirikisho
.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad