Yanga Katika KUNDI Gumu Ligi ya Mabingwa Afrika..Hii Ndio Sababu




Klabu ya Yanga imepangwa kwenye kundi A ambalo linaonekana kuwa gumu zaidi kwenye michuano ya Ligi ya mabingwa Barani Afrika.

Kundi hilo limejumuisha TP Mazembe ambayo ni mabingwa mara tano wa Ligi ya mabingwa Afrika, huku msimu uliopita wakitolewa hatua ya nusu fainali ya michuano hii na Al Ahly kwa Agg. 3-0.

Al Hilal Sudan ni miongoni mwa klabu zenye historia nzuri kwenye michuano hii wakiwa na kumbukumbu ya kuiondosha Yanga kwenye hatua ya kufuzu CAFCL hatua ya makundi.

MC Algers ni klabu ambayo imecheza hatua ya makundi mara nyingi zaidi ya klabu ya Yanga.

Yanga ipo kwenye kitanzi kigumu zaidi na kama ikifanikiwa kuvuka kwenda hatua ya robo fainali basi kuna uwezekano mkubwa wa kutinga hatua ya Fainali.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad