Msanii wa muziki wa Amapiano kutoka nchini Tanzania @chino_kidd7 amemchana msanii mwenzake ambaye aliwahi kuwa boss wake wa Zamani @marioo_tz kuhusu madai aliyowahi kusema siku za nyuma ya kuhisi Chino Kidd alituma watu wamuwekee sumu.
Chino Kidd ameandika " Yani kosa ni kuwa juu tu utapewa hata kesi ya mauaji ambayo wewe huijui na wala hupelekwi polisi wala kufunguliwa kesi inapostiwa instastory tu na hiyo ndiyo Bongo na jealous zao"
Habari zetu zinapatikana pia kwenye mtandao wa Onasasa,install app playstore au appstore Kisha follow account yetu ya Middle simba.