Web

Huyu Hapa Ndio Kocha Mpya Msaidizi wa Yanga.....

 

Huyu Hapa Ndio Kocha Mpya Msaidizi wa Yanga.....

Yanga wamethibitisha kuwa Mustafa Kodro,ndie kocha msaidizi Wa Ramovic.

Mustafa Kodro,ni raia Wa Bosnia-Herzegovina,ana UEFA Pro Licence.

Ikumbukwe hiyu alikuwa ni kocha msaidizi Wa TS Galaxy chini ya Ramovic.


Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad