Manula Afunguka: Naona Maumivu ya Wenye Husda na Roho Mbaya Wakiumia

Manula Afunguka: Naona Maumivu ya Wenye Husda na Roho Mbaya Wakiumia


Golikipa wa Simba SC, Aishi Manula ameeleza kuwa akiangalia njia aliyopitia hadi kufika alipo sasa anaona zaidi maumivu ya wenye roho mbaya, husda na choyo wakiumia sana.

“Nikiwa naangalia njia niliyopitia kufika hapa nilipo. Chakushangaza zaidi naona maumivu ya wenye husda, choyo na roho mbaya wakiumia sana.

“Na moja ya ajabu kubwa ni kwamba kipindi napita wote walikuwa na nyuso za furaha na walisema kila la kheri.

“Hakika Allah anamanguvu sana.” Ameandika Aishi Manula kwenye ukrasa wake wa Instagram.


Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad