Mrembo na Mfanyabiashara @officiall_nai ameeleza kuwa iwapo Yanga SC atafungwa leo ugenini dhidi ya Namungo FC basi atahamia Simba SC.
“Leo Yanga tukifungwa nahamia Simba, kila la kheri timu yangu Yanga 💚💛.” Ameandika Nai kwenye ukurasa wake wa Instagram.
Yanga itakuwa ugenini katika uwanja wa Majaliwa Ruangwa majira ya saa 6:30 jioni kuzisaka alama tatu