Web

Pep Guardiola Mechi Tano Watu Wanajipigia tu

Top Post Ad

Pep Guardiola Mechi Tano Watu Wanajipigia tu



Hii inaweza kuwa ni kwa mara yake ya kwanza tokea ameanza kufundisha soka kocha wa Manchester City, Pep Guardiola amepoteza michezo mitano mfululizo,

Pep amepokea Kipigo cha goli 4-0 uwanja wa nyumbani kutoka kwa Tottenham kipigo ambacho kinapigilia msumari kwenye kaburi la Pep na City.

Katika michezo hiyo mitano Spurs wamemfunga City mara mbili, pamoja na Brighton, Sporting CP na AFC Bournemouth.

Below Post Ad

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.