POLISI: Tumemkamata Mtuhumiwa Aliyehusika na Kifo Cha Mwanachama wa Chadema



SONGWE: Jeshi la Polisi Wilaya ya Momba, limesema linamshikilia Mwanaume mmoja ambaye ni Dereva wa Bodaboda anayetuhumiwa kuhusika na Kifo cha Stephano Chalamila (23) ambaye awali aliripotiwa kuwa Mwanachama wa CHADEMA

Taarifa ya Polisi imesema tukio la mauaji ya Chalamila lilitokea Novemba 26, 2024 saa 4:30 usiku katika Mtaa wa Chapwa A. ambapo marehemu alivamiwa na kushambuliwa na Watu Wasiojulikana kwa kitu chenye ncha kali Kichwani na Mikononi, akiwa Nyumbani kwake.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad