Raya Alistar Sykes mke wa mwanamuziki Barnaba ameeleza kuwa mume wake amekuwa akichelewa kurudi nyumbani kwasababu ya wanawake.
“Nimechoka nimechoka Mwanaume kila siku jipya ukiuliza kisa umeolewa na msanii? Hapana kwa kwel ifike muda nifanye maamuzi yangu binafsi mimi sio wa kukuta ‘dm’za wasanii wa kubwa wa kike ambao niliokua nacheka nao na kuheshimiana nao kumbe walikua wakinichora na kuninafikia hapana kwa kweli.
“Nimechoka nimechoka napitia mambo mengi sana napambana nayo. Nimekuvumilia toka si lolole tulivumiliana kwa shida na raha na hata nilipokua nazo ulitumia sasa hivi umepata hela unaniona mm sio kitu!
“Yani nimejifunza sitakuja kuanza tena na mwanaume chini tena navumilia mambo mengi sana mpaka naitwa mgumba na bado nimekuvumilia umekua nani wewe?
“Unachelewa kurudi kwasababu ya hao wanawake ifike pahala niseme imetosha nimechoka nimechoka kwa akili zangu timamu nasema hivi kwanzia leo mimi na wewe basi nimefika mwisho ukurasa nimeufunga nakuacha na maisha yako ya kua huru ufanye uhuni wako kwa amani.
“Naona Heshima ya kuoa bado hujaijua wewe uilkurupuka wewe ni hayo tu Barnaba imetosha am official single Talaka yangu unajua kwa kuipeleka @mamakimbo_og mama angu ulikua ukiniambia kila siku lakini leo nimejionea imetosha sasa !
I'm single ready to mingle.” Ameandika Raya kwenye ukurasa wake wa Instagram.