SERIKALI: Hairuhusiwe Mtu Yoyote Kukusanya Michango Ghorofa Lililoanguka Kariakoo


SERIKALI: Hairuhusiwe Mtu Yoyote Kukusanya Michango Ghorofa Lililoanguka Kariakoo


Serikali imesema michango yote ya kifedha kwa ajili ya kusaidia operesheni ya uokozi kufuatia ghorofa kuporomoka eneo la Kariakoo, zielekezwe katika akaunti maalum ya maafa iliyoko Benki Kuu (BoT) yenye jina la National Relief Fund kwa namba 9921159801.

Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu), Dkt. Jim Yonazi amesema mtu yeyote hataruhusiwa kukusanya michango ya kifedha mbali na akaunti hiyo.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad