Shirikisho la Soka Duniani, FIFA Laifungia Yanga, Kisa Hichi hapa
Shirikisho la Soka Duniani, FIFA limetoa taarifa kuifungia klabu ya Yanga Sc kutosajili kufuatia kutotii agizo la kumlipa Augustine Okrah ambaye aliwashitaki mapema baada ya kumtema bila kumalizia stahiko zake zote.
FIFA imeitaka TFF kuiwekea zuio la kutosajili Wachezaji wazawa mpaka pale watakapomalizana na Mchezaji huyo ambaye shauri lake lipo FIFA mapema mwaka huu.
NB:
Taarifa hii imetolewa na FIFA NOVEMBA 11