Web

Sijawahi Kuona Yanga Mbovu Kama ya Leo....Wamecheza Ovyo



Nimewahi kushuhudia Yanga mbovu Ila hii ya leo ni funga kazi,kila timu duniani inaweza kuwa na siku mbaya ila Siyo kama hivi😄

Yanga Leo wamecheza hovyo kuliko maelezo,huoni discipline,utashi,uthubutu,umakini wala ujuzi.

Mbaya zaidi Wachezaji hawawezi hata ku-control mpira wala kupiga pasi 6 kamili🤔

Kwa kifupi leo Yanga walikuwa HOVYO!

Credit kwa Tabora walikuwa na utashi,uthubutu na kubwa zaidi waliishi kwenye plan yao ya kukaa nyuma na kuchagua nyakati Za kushambulia…..absolutely Brilliant 🙌

Chikola what a player🙌
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad