Kuna tetesi kuwa Muda wowote kuanzia sasa ndoa ya kocha Mkuu wa klab ya Yanga Miguel Gamondi na Waajiri wake hao itafika tamati,
Sababu ikifahamika ni mwenendo mbaya wa timu,
Imefahamika: Jana baada ya Mchezo kocha Miguel aliitwa kwenye kikao na Uongozi wa Juu wa klab hiyo ila yeye hakufika.