.
Viwanja vipo mtaa wa ubafu, ni mpakani mwa Dsm na Pwani, vipo umbali wa km 4 kutoka Mungoi darajani.
Huduma zote zipo na bei ni nafuu sana, sh 10,000 tu kwa sqm moja, sawa na sh milion 4 tu kwa kiwanja cha mita 20/20.
Vipo viwanja vyenye ukubwa wa sqm 400, sqm 600, sqm 700 na sqm 1000