Wameamua Kumpoteza Kabisa P Diddy, Anyimwa Dhamani Tena Kisa Usalama Mdogo

Wameamua Kumpoteza Kabisa P Diddy, Anyimwa Dhamani Tena Kisa Usalama Mdogo


Diddy ataendelea kuwa kizuizini baada ya jaji kukataa dhamana yake kwa mara nyingine tena, akisema kuwa hana uhakika wa usalama kwenye jamii endapo Diddy akitoka

Ijumaa iliyopita, Diddy alionekana mahakamani New York akiwa na mawakili wake akikata rufaa ya nne ya kupata dhamana. Maombi yake ya awali ya dhamana yalikataliwa na majaji, licha ya Diddy kutoa jumba lake la kifahari la Miami Beach lenye thamani ya dola milioni 50 kama dhamana. 

Pia alipendekeza awekwe chini ya kizuizi cha nyumbani akilindwa na walinzi masaa 24 kwa siku na kupigwa marufuku kabisa kuwasiliana na waathiriwa au mashahidi wa madai hayo. Pamoja na Diddy kuwasilisha maombi hayao lakini bado Mahakama imegoma kumpatia dhamana

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad