Ademola Lookman Mchezaji Bora wa Mwaka Afrika CAF Awards 2024
0Udaku SpecialDecember 17, 2024
Mshambuliaji wa Atalanta na Timu ya Taifa ya Nigeria Ademola Lookman ameshinda tuzo ya Ballon d’Or mchezaji bora wa mwaka wa Afrika mwaka 2024 kwa upande wa wanaume.