Ahmedy Ally: Sio Lazima Ateba Aombewe Ndio Afunge, Endeleeni Kumuombea Wenu

Ahmedy Ally: Sio Lazima Ateba Aombewe Ndio Afunge, Endeleeni Kumuombea Wenu


 "Ni Jambo la Furaha kuona Mshambuliaji wenu anafunga kuna wengine mpaka wakaombewe kufunga sio Jambo dogo wana Simba SC tumlinde mchezaji wetu"

Ahmed Ally, Meneja Habari na Mawasiliano wa Simba SC.

“Suala la wachezaji kuombewa limeshika kasi ,kati kati tulikuwa tunaona wachezaji wapo Gym na Ma-trainer , lakini sasa hivi kila mchezaji anaombewa” - @luambano77


“Suala la wachezaji kuombewa wengine sio wao wanataka ila watu wanaowazunguka , mchezaji anaambiwa wewe sio bure twende ukaombewe”

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad