Aishi Manula Kutua Jangwani Dirisha Dogo la Usajili.....



Taarifa za ndani zinaeleza kuwa klabu ya Yanga Sc ipo kwenye mazungumzo na golikipa wa Simba Sc Aishi Salum Manula kwaajili ya kumsajili kama golikipa namba mbili wa klabu ya Yanga Sc.
.
Mpaka sasa mazungumzo yanaenda vizuri na Aishi Manula ameridhia kabisa kujiunga na klabu ya Yanga kwa mkataba wa miaka miwili.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad