Alex Ngereza Adai ATEBA wa Simba Ameanza Kupotea

Alex Ngereza Adai ATEBA wa Simba Ameanza Kupotea


"Leonel Ateba ameanza kuingia ubaridi, taratibu taratibu anasahaulika,ameshindwa kuendana na ile kasi ambayo alianza nayo wakati anakuja kujiunga na Simba, huenda ndio anguko lake tuendelee kusubiri tuone."

"Sijui Lionel Ateba atafanya nini kwenye michezo ijayo ila nimeanza kupata mashaka na performance yake, sio mchezaji wa daraja la juu sana ndio maana imekuwa rahisi kustack ingawa ana muda wa kuendelea kuboresha performance yake."

Anasema; Alex Ngereza

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad