Azam Wakizubaa Gibrill Silah Anakwenda SIMBA, Waanza Mkakati wa Kumnasa

Azam Wakizubaa Gibrill Silah Anakwenda SIMBA, Waanza Mkakati wa Kumnasa


Inaelezwa kuwa winga wa Azam FC, Gibrill Silah anaelekea kumaliza mkataba wake na wanalambalamba mwishoni wa msimu huu na hakuna makubaliano yoyote yaliyofikiwa baina klabu hiyo na Mgambia huyo.

Taarifa zinaeleza kuwa klabu hiyo ilishamwekea nyota huyo ofa ya mkataba mnono wa miaka miwili lakini nyota huyo hajaonyesha utayari wa kusaini kandarasi hiyo.

Za ndani kabisa ni kuwa Simba SC inaafwatilia Kwa karibu Hali hiyo na wanaweza wakamwekea nyota huyo ofa nono zaidi ya wanalambalamba endapo kocha Fadlu Davids ataruhusu nyota kujiunga na kikosi chake.


Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad