FOUNTAIN GATE YATOA THANK YOU KUUKARIBISHA MWAKA MPYA
Benchi lote limevunjwa akiwemo kocha mkuu - Mohamed Muya.
Lakini sio hvyo tu taarifa zilizopo mpaka sasa, Fountain gate imeshasajili wachezaji tisa kwenye dirisha dogo la usajili la sasa
Fountain Gate wameamua kuanza upya. Wanautaka ubingwa nini??