Taarifa za awali kutoka ndani ya ACT Wazalendo zimesema Nondo ambaye alitekwa leo asubuhi katika stendi ya Magufuli Mbezi Luis Jijini Dar es salaam akitokea Kigoma, amepatikana akiwa na majeraha ambayo yametokana na vipigo na sasa anapelekwa Hospitali akiwa mahututi.
BREAKING: Abdul Nondo Apatikana Baada ya Kutekwa
0
December 02, 2024
Tags