Kwa mujibu wa taarifa kutoka Tovuti ya Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF) Mwanamuziki kutoka Tanzania Diamond Platnumz ni miongoni mwa Mastaa watakaotumbuiza kesho Misri kwenye ugawaji wa tuzo za CAF.
Hii sio mara ya kwanza Diamond Platnumz kupata fursa hiyo, amewahi kutumbuiza tuzo za CAF mwaka 2015, 2017 na 2020.