Edo Kumwembe: Bao la Mohamed Hussein Tshabalala Algeria ilikuwa Kama Bahati tu

Edo Kumwembe: Bao la Mohamed Hussein Tshabalala Algeria ilikuwa Kama Bahati tu


Bao la Mohamed Hussein Tshabalala lilikuja kama bahati tu. Hakukusudia kufunga. Alitaka kupiga krosi mpira ukakatika hewani na kwenda katika nyavu za kipa wa CS Constantine. Kipa wa Constantine alikuwa anataka kuvamia mabega ya washambuliaji wa Simba au walinzi wake adake mpira lakini ghafla ukakatika hewani na kutinga katika nyavu zake. Lilikuwa bao ambalo ni zawadi ya mashambulizi yao ya kipindi cha kwanza.“

Mchambuzi, Edo Kumwembe.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad