Ulikua ni moja ya msimu wake bora tangu aanze kucheza NBC PREMIER LEAGUE.
Kuonyesha kuwa yupo serious na kazi, na Fei hacheki na wowote, mpaka sasa yupo juu ya msimamo wa kiungo aliyefanya vizuri. Akiwa na assists 09, na bao 4
Mpaka sasa ni nusu msimu ila Feisal ameshafikisha assist moja zaidi assists 9. Ni idadi kubwa zaidi kwa assist 1 alizofikisha msimu uliopita
Graph yake inapanda msimu baada ya msimu tangu aanze rasmi kuchezeshwa eneo la juu (Advanced Attacking midfielder) kuanzia kipindi cha Nabi
Thamani ya Feisal inaendana na kiwango anachoonyesha uwanjani. Ukitaja wachezaji wenye HIGHEST VALUE kwenye ligi yetu kwa sasa huwezi kumuacha Feisal Salum