Harmonize na Mrembo Malaika Mambo Yameiva, Wabebana Hadi Raha
0
December 03, 2024
Msanii Abdul Rajabu maarufu Harmonize Harmonize anadaiwa kuzama kwenye penzi na Mlimbwende matata mitandaoni (socialite) wa Bongo Malaika mwenye kalio lake mjini baada ya kuonekana kwenye mtandao wa Insta wakiwa pamoja katika mikao mbali mbali ya kamahaba huku wakibebana
Tags