Shirikisho la Mpira wa Miguu duniani FIFA limetangaza kikosi bora cha Dunia kwa mwaka 2024 leo December 17, 2024 katika usiku wa Tuzo za FIFA 2024.
Hiki hapa kikosi bora cha Dunia cha FIFA 2024
Martinez 🇦🇷
Carvajal 🇪🇸
Saliba 🇫🇷
Dias 🇵🇹
Rudiger 🇩🇪
Rodri 🇵🇹
Kroos🇩🇪
Bellingham 🏴
Yamal🇪🇸
Vinicius 🇧🇷
Haaland 🇳🇴