Huyu mwanamke kanipa adhabu ya kikatili sana
Kwa majina naitwa Ben Tuva kutokea Mbagala, Tanzania, ni kijana wa miaka 27, nilikuwa katika uhusiano na binti mmoja aitwaye Fetty ambaye ana kama miaka 24, katika mapenzi yetu kuna kipindi tulikuwa tunaachana na kurudiana.
Kuna kitu kilikuja kutokea na sikuwahi kuwaza kama kuna siku mpenzi wangu ambaye nilimpenda kwa moyo wangu wote anaweza kunifanyia jambo la kuniumiza moyo wangu pamoja na mwili wangu kwa ujumla.
Nakumbuka kuna siku alikuta meseji kwenye simu yangu ambazo nilikuwa nachati na mwanamke ambaye nilikuwa natembea naye kwa kificho.
Kutokana meseji zile zilikuwa wazi sana kuonyesha sisi tulikuwa ni wapenzi, nilishindwa kukataa kwamba sijafanya jambo na mwanamke yule.
Kwa kuonyesha najali hisia zake, niliamua kumuomba msamaha lakini alikataa na kuniambia atanionyesha na akachukua vitu vyake pale nyumbani akaondoka kwenda nyumbani kwao kwa wazazi wake.
Sasa baada ya siku chache alinipigia simu na kuniambia ameamua kunisamehe, aliniuliza kama nipo nyumbani nikamjibu nipo, akaniambia anakuja kunisalimia maana amenimisi kama mpenzi wake.
Alipokuja baada ya maongezi ya hapa na pale tukaamua kuchangamsha damu kidogo, yaani kushiriki tendo kama ilivyo kawaida yetu kila akiibuka Ghetto, siunajua tena mambo ya vijana.
Sasa tatizo lilianza kama siku chache mbele pale nilipoanza kuwasha sehemu za siri, nilienda Hospitali kupima nikaambiwa ni kisonono, ugonjwa ambao uliwahi kunitesa miaka ya nyuma hadi pale nilipata tiba kwa Dr Bokko.
Nilimpigia mpenzi wangu na kumwambia ninaumwa, alichojibu ni kwamba anajua hilo na yeye ndiyo kaniambuza kwa makusudi kama adhabu kwa kumsaliti na kunitaka nipambane na hali yangu.
Sikuwa na jinsi zaidi ya kuchukua simu yangu na kumpigia tena Dr Bokko na kumuomba anisadie tena tiba ya kisonono maana ugonjwa huo unanikosesha sana amani, nikikumbuka jinsi awali ulinitesa moyo wangu unaumia sana.
Nashukuru sana Dr Bokko alinihudumia kama ilivyo kawaida yake na baada ya muda niliweza kupona na sasa nimeamua kuwa nitatulia na mwanamke mmoja katika maisha yangu ila sidhani kama nitakuja kumsamehe yule mpenzi wangu.
Ukiachana na kisonono, Dr Bokko anatibu magonjwa mengine kama kaswende, kisukari, presha, upungufu wa nguvu za kiume, miguu kuwaka moto n.k. Mpigie sasa +255618536050 ili upate huduma yako.
Mwisho.