Irene Uwoya : Mwanzo Nilikuwa Sioni Umuhimu wa Kusoma Biblia

Irene Uwoya : Mwanzo Nilikuwa Sioni Umuhimu wa Kusoma Biblia


“Kuna watu nina uhakika wamekuwa na changamoto kama mimi niliyokuwa nayo katika kusoma Biblia au wengine bado wana hiyo changamoto.

“Mwanzo kiukweli nilikuwa sioni umuhimu wa kusoma Biblia na nilikuwa nasoma Biblia nikiwa naenda kanisani tu.” Amesema muigizaji wa Bongomuvi @ireneuwoya8.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad