Ivory Coast Timu Bora ya Taifa Kwa Wanaume Mwaka 2024, CAF Awards


Ivory Coast imetangazwa kuwa Timu Bora ya Taifa kwa Wanaume mwaka 2024, ikiwa ni ishara ya mafanikio makubwa katika soka la kimataifa.

Tuzo hii iliyotolewa na Shirikisho la Soka la Afrika (CAF) inatambua juhudi na mafanikio ya Timu hiyo ikiwemo ushindi wao katika michuano ya Afrika ambapo Ivory Coast imeonyesha kiwango cha juu cha mchezo ikivutia Wapenzi wa soka kote Barani Afrika na kuendelea kudhihirisha ubora wao katika Uwanja wa soka.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad